Sheng word ya leo

 
Ungwaro [ u-ngwa-ro  ]  ( Noun )

Meaning: Kawangware

Use: Tuna ishia Ungwaro kucheza ball = We're off to Kawangware to play football

Synonyms:


Kukuru

05 Sep 2014

Napenda culture ya mathree kuruka, ata kama wasee hudharau hiyo janta lakini bila mat ingekuwa aje...........(click hasapa kucheki zaidi)
nacenace kupata hare ya sare ingekuwa ni fununu tu.....Kwani hanaku mapro wakuduu hizi wera?