Ndirao hii, Cancer ime amua

September 16 2012 2:10pm     0 591

Photo Credit:   Tingua risto

Twentytwerof ime kuwa ni mwaka iko down tu sana. Ma bigi wame kuwa wana uma pamba rate inengi hatuja wahi ona. Jana na juzi, watu three wame manyuria. PS David Nalo, Arthur Magugu na Lazarus Sumbeiywo.
Tuna sema RIP.