CR7 akapenya na award

January 14 2014 9:30am     0 788

Photo Credit:Goal.com   Tingua risto

Raundi ingine tena CR7 amepenya na Ballon d"Or award. Ya fao ali win 2008 akiwa bado anachezea Man U.Hii award haikukuja vi rahisi hivyo,ilibidi wasee wa weze ku vote. Na wasee wenye walikuwa wana vote ni kama Ma capi wa team, ma coaches na media houses reperesentatives.CR7 alikuwa na 27.99% akifwatiwa na Messi akiwa na 24.72 % alafu wa lanyo akiwa Frank Ribbery akiwa na 23.36 %.Messi ndio amekuwa aki kwachu hizi award mara tatu zikifwatana kwanzia (2009,2011 na 2012). Ronaldo inasemekana Dec alitingua museum ya ku show zile award zote ashawai shinda, na sasa tunayebi ameadisia award inengi...Big up CR7...Uli deserve hii award.

Related Stories