Chunga sana uki sosi loaf

January 14 2014 10:47am     0 824

Photo Credit:Daily Post   Tingua risto

Kuna mbuus flani anadai akiwa anajikata mtaani day moja, aliamua kuingia oduko ku boti mkanyo kwa shop jamo hiyo side ya eastlando.Kesho yake alipokuwa anatayarisha breko,ka tiabe hivi na slice kadhaa za mkanyo.Akiwa anadishi alipo enda ku bite mkanyo, alikutana na elastoplast mbexes na damu imekauka.Mara hiyo hiyo akaanza kumwaora ikabidi apelekwe aka admitiwe hosi.Huyu mbuus akiwa kama Mkenya wa kawaida, aka amua kuvutia nangos management ya SUPA LOAF kuwa show hiyo risto.Alishtuka sana na response ya management baada ya kumsanukia na kumtusi na wengi wao walikuwa wapandre.Baada ya ku file case akapokea musi kutoka kwa management ya SUPA LOAF wakidai kumpatia token ya mote kobole na hongo ya mote moja. Inasemekana ma journalist wamekaziwa kutangaza hii risto.

Related Stories