Njaro noma ya kudai lungula!

July 21 2014 3:57pm     0 781

Photo Credit:Google   Tingua risto

Zamo wasee walikua wanachora maletter kuexpress venye wanafeel kwa malover wao. Lakini hizo enzi zilidedi after risto za internet na computer in general kuquom.

Anyway sijui ungefanya nini kama wifey wako hayuko na syke ya kujipa. Sa msee mjamo aliamua kuduu kitu ya ajaabu sana.

Aliamua kuchora spreadsheet kwa Excel, ya kuonyesha zile mara zote wife alidinda lungula. Aliweka details za date, response na excuse ile alipewa ya kukosa kuwai hizo vitu.

Kuongezea noma yake, alitumia wife hiyo document kwa E-mail kama ameishia trip ya biz ya siku kinde. Huku akidai hakuna kitu atahata akiwa mbali na yeseye.

Hii risto ilikatsia mbuus, na ikawa worse juu chali alidinda kukwachu musi, hadi ikabidi manzi ameshare hiyo spreadsheet na dunia nzima. Alikuwa anaomba advice ya kuwasaidia kubongeshana, coz anafeel hubby akona utoi kibao. Alikua anajitetea, amekuwa busy kwa jobo na pia kubeat coz alijoin gym after kupata amegain weight sana. Lakini badala ya hazii kusaka venye wanaweza communicate, aliamua kukosa kuelewa.

Ebu kemba hisihi document alafu utuchapie maoni zako.

 

lungula excelsheet

Related Stories