Security gani hii?

July 23 2014 10:49am     0 598

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna videsa inasemekana ilipostiwa kwa YouTibe last year, ikishow kiu ya ajaabu sana. Ilikua na mtoi mpienga akiwa amedoze alafu amezungukwa na cobra nne, ati kama mabouncer.

Hisihi protection enyewe ilikuwa gwan juu hanaku nyoka ilifanya kuattack huyo mtoi. Ata baada apenduke na kulalia jamo kwa mkia.

Lakini wasee wale wameyebi hiyo vida wanadai iko fake kuruka. Wanazidi kudai lazima ikuwe hizo nyoka zimechujwa fangs zao na kushonwa midomo ndio zisiume huyo mtoi.

Ukicheki, unakubaliana ni fake ama ni cha ukwela? 

Related Stories