Sema kuwai blessings kuruka!

July 23 2014 11:09am     0 1035

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Huang Lihua ni manzi akona miaka mbao na four, na life yake iko fiti kuruka. Akiwa na chali anampenda na biz imeimarika, hana compalints.

Lakini anadai raha ya life yake imekuom juu ya kurudishia mkono grandie wa kwake. Huang anashare risto yake ya venye mapero wake walilazimika kumwacha ndio wabaki waks kwa jiji.

Sa ilibidi amepelekwa ocha kwa mshodhe na juu alikua ashazoea maisha ya city, ilikua hard kuadjust kukaa mushadha.

Anakumbuka venye grandie wake alikuwa anabeba kila mahali ata akienda mako ama kutembelea mabeshte. Hanaku siku aliwai muwacha jakes solo.

Kwahivyo baada ya kumada chuo na kusaka waks, aliona heri afanye waks itamkubalisha kuishi na grandie hasapo jiji. Ndio akatingua resto na sahii hubidi anabeba shosho wake kutoka home hadi jobo. Alafu wanashinda pamoja, akimchunga venye yeseye alifanyiwa akiwa mniaju.

Nini ushawai fanyia mokoro wako hadi akabambika? Ama wesewe ni wale hawana kazi ya wazae, hadi kuwapeleka kwa old age home?

Related Stories