Raha zinakam na njeve ya July!

July 24 2014 2:47pm     0 264

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kama raiya true wa Kenya, tunapenda kucomplain juu ya kila kitu hadi weather. Na enyewe saa zingine inabidi kuzusha, kutuo tu steam kiasi. Lakini kunayo group nifla imebambika mbaya juu ya hii mwezi ya njeve.

According to malanga wa 254, biz imekuwa fiti sana hii July. Kumbe haka kanjeve kanachangia wateja wao kukuwa regular.

Kutoka K-street, hadi downtown Nai, makuro wanachukua hii ‘peak season’ viserious. Yaani ata bei za services zimeshoot, juu demand iko the highest inabaki msee mjamo anaweza rudi mtaani na thao kobole kwa siku.

Poko mjamo anadai ilibidi kukatiza trip yake ya kuenda Mara, juu waks ya hasapa jiji iko na mkwanja zaidi.

Sa kama bado umeng’ang’ana hapo na waba moto, sijui jako, sweater na socks heavy, jua kuna dawa ya hii njeve. 

Related Stories