Mara ya fao hasapa Kenya…

July 24 2014 4:34pm     0 919

Photo Credit:Google   Tingua risto

Vitu mob hufanyika around the world, alafu tunabaki hizo ni mambo za majuu solo. Lakini hatuko far na dunia venye tulidhani.

Kama unakumbuka risto nifla ilitokelezea kuhusu chali alitaka kotiko kubadilisha jina na gender yake kwa Birth Certificate, then utaelewa hii riba nawachapia sahii.

Sa mjamo Andrew Mbugua, alifika kotiko na kudai yeseye si mboiyz coz amekuwa akifeel kuwa manzi tangu kuwa mniaju. Na juu sasa alikuwa kwa miaka za kujiamulia venye anataka, alidai kotoko kukubali kubadilisha documents zake na gava kurecognize amekuwa Audrey Mbugua.

Kwa terms za kisasa, Anatambulika kama Transgender. Na this round, atleast kotiko ilikua kwa side yake, juu inasemekana on Weno, High Court, ilimkubalisha kutingua ama kuanzisha NGO kuhusu Transgender Education and Advocacy. Hisihi group yake imekuwa registered na labda ataweza kutetea wasee wale wako kama yeye lakini ni wanyonge na hawawezi kujitetea ama ata hawaelewi chenye wanakapitia.

Related Stories