Aki sio jokes!

July 24 2014 5:26pm     0 507

Photo Credit:IFL Science   Tingua risto

Msee amewai kuwa kwa shake, anaelewa risto ya kugraft miti za matunda kuget matunda za hybrid. Kama venye kujoin machungwa na ndimu ama maembe na apples.

Sa kuna msee anajitambulisha as Sam Van Aken, na amekam na mti jamo ikona matunda aina arbesa tofauti.

Eti inakuanga tu kawa lakini ikifika spring itakuwa na almonds,apricots, cherries, nectarines,peaches na plums.

Kuna mti kinde na six solo, zenye zimepandwa, kila moja ikigrow kwa maika ngovo. Enyewe kama hisihi ni possible, basi hanaku haja ya kukuwa na shake bwaku, coz mti jamo inasimamia kuget matunda aina fogo.

Related Stories