Mboiyz ako league yake solo!

July 25 2014 4:05pm     0 535

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Nilikuwa nagwaya kuenda roller-skating mbaya juu ya kuona venye naweza dunda na kujigwara kwa lami. Lakini baada ya tizi, niliweza kujibamba kiasi. Ata utadhani nimekuwa pro kutoka zamo. Lakini kuna risto nimecheki hasapa, nikacheki kumbe ata hanaku kitu najuakuhusu roller- skating.

Gagan Satish ni mniaju wa maika sita, na anaweza skate akiwa inch kobole tu kutoka kwa grao. Mtaani ni Bangalore, husuko India na ashakuwa celeb juu ya hisihi talanta amekwachu.

Sa kushow venye ni ordinary kwa hii sport, aliamua kuskate niche ya mandai 39, kama zimepangwa kwa line. Yaani hakuinuka hadi kumaliza kupita hasapo niche.

Alianza hii sport akiwa miaka tatu na anadai ataskate niche ya ndai horse. Ata jina yake ishaingia kwa India Book of Records kama  msee ameenda the Farthest Distance kwa Limbo Skating.

Na juu ya venye anapenda sana chenye anado, tunachill kumkemba kwa Guines Book of Records soonest.

Related Stories