Hisihi ndio double tragedy…

July 28 2014 1:03pm     0 350

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tumerauka kuwai risto boree zikidaisha Nancy Nyambura a.k.a Jastorina, amekamanyuria.

Nancy alitambulika kama comedian mjamo mwenda, akichukua acts kama Naomi kilewa kwa Tv Show inaitwa Mashtaka. Pia alikuwa anaplay kama Jastorina, yenye ni character ya mboch alikua na vituko kuruka.

Inasemekana aligenya on Friday, baada ya kuget msick na Meningitis, akiwa anaget treatment hasapo Onyato hosi.

Blanda ilitokelezea, baada ya risto kuhusu yeseye kuuma pamba kufikia masake. Kumbe ilimpatia shock vimajor, juu masaa kiasi tu baaden, pia madhake akadedi.

Manze Nancy aliwacha behind waniaju wambweks na tunaombea sana famo na mabeshte wataweza kuget strength ya kuvuka hii time ya huzuni. Pia lazima kumkumbuka coz alileta raha kibao kwa maisha zetu kupitia comedy zake.

Related Stories