Kenya bado inazidi kuharvest ma ndechu

July 30 2014 12:14pm     0 118

Photo Credit: JAMES WAINDI in GLASGOW   Tingua risto

Tuesday ya 29th July 2014, wasee wakiwa wanacelebrate Eid, tunacheki wakenya husuko Glasgow wanazidi kutubambisha.

Hiyo jana palikuwa na final race ya madem ya meter thao moja na punch (1500), na tunacheki medals zote tatu wakenya waliweza penya nazo. Joyce Chepkirui, 2012 London Olympics aliweza run the same race but hakufanikiwa kuwin medal yeyote. But this time round katika Commomwealth Games aliweza kuwai Gold medal.

Joyce Chepkirui aliweza cross line wa fao kwa dakika ya 32:09:35, akifwatiwa na Florence Kiplangat aki cross line kwa dakika ya 32:09:48. Kiplangat ndiye Berlin Marathon Champion. Alafu wa thado akiwa World Cross Country Champion; Emily Chebet, kwa dakika ya 32:10:82 na akaweza penya na Bronze medal.

Kenya bado ina expect number za ndechu kuzidi kupanda, juu kunazo race kibao zimebaki. Sisi hasapa tunawatakia wakenya wote ushindi, big up kwa hawa madem walishinda race ya thao moja na punch.

Related Stories