Kamotee imewai janta!

July 30 2014 2:11pm     0 594

Photo Credit:Google   Tingua risto

Hauwezi ishi nao na huwezi kukaa bila pia. Mambuus walikuja kuchizisha maboiyz. Lakini this round wameamua kujiingiza kwa game ya uhanyaji hadi imebaki machali kusaka njaro za ajaabu za kuwaweka mtaani.

Hadi ilibidi msanii anatambulika kama Chris Brown akadai ‘hanaku ule loyal.’ Kumbe hawa madem wanajipa kwa ule wowote anadai lungula bila kujali consequences.

Yaani ata wale waliangukia machali na mahubby wafiti, bado wanajirusha kwa risto za kuhanya.

Lakini imebidi wasee kukubali ushindi na kuingia kwa yadi ya kusaka kamotee ndio waweke mambuus wao kwenye lock down.

Ambapo manzi akihanya tu, anajipata kwa situation hawezi kujitoa hadi msee wake akuom kuwatoanisha. Kumaanisha kila time msee anaendea clande, itakua kama ile riba ilihappen Kericho, ya wadhii walikwamiana wakimangana. 

Related Stories