Venye kumekisha madiva!

July 31 2014 1:18pm     0 501

Photo Credit:Google   Tingua risto

Sophie-May Dickson ni madha wa waniaju walimbi, madem. Na kama madhe wowote, anapatia watoi wake vitu poa kwa maisha venye anaweza. Lakini yeseye ameenda extra mile.

Amekuwa akiwabotia mng'aro za designer, kutoka cladi za D & G, njumu za Ralph Lauren hadi custom made pink bed yenye ilicost zaidi ya thao soh.

Waniaju wenyewe wako miaka 4 na ule mpienga akiwa miaka mbexes. Alafu wao huget hair extensions, cutex, na spray tans.

Husuyu madha anadai watoi wake wanapenda chenye wanabaiwa na ati anapenda kuwacheki wakiwa happy. Sijui wale maboiyz wataenda kukatia kwa hiyo keja kama watawezana na hiyo high maintainance. 

Related Stories