Kuwa chonjo na risto za Ebola

July 31 2014 5:12pm     0 726

Photo Credit:Aljazeera   Tingua risto

Manze tumekuwa tukiskia riba kuhusu hisihi virus inaitwa Ebola, na venye imespread area za West Africa, ikimada wasee fogo. Alafu kuzidisha hanaku tiba ya hii stuff.

Sa inakaa ata hasapa 254 kunayo risk ya kuwai hiyo virus. Inasemekana kuna mthama mjamo kutoka Hongkong amemuja na anashukiwa akona Ebola. Although gava inakwara hiyo risto, huku wakidai ati medical wetu wako ready kuface hiyo epidermic, lakini heri kukaa chonjo ndio ujue unaweza kujikinga aje.

So far; Nigeria, Sierra Leone, Guinea wanadai wameget hiyo virus, ikiwa imeanzia Liberia. Ata imebidi border kutingwa ndio places zinengi zisipatikane.

Hii Ebola inachukua kutoka siku mbweks hadi siku mbao na jamo(2-21days) kujitokeza. Alafu symptoms zake ni; fever, headaches, joint pain, lack of appetite, difficulty in breathing, and sore throat.Alafu ikichacha msee anaget diarrhea, vomiting na internal bleeding. Inapitishwa through hewa, ama breathing ata contact na msee ako nayo. Kumbuka tena haina tiba. So ukisuspect msee ako nayo, anafaa kuwekwa kwa quarantine ndio asiambukize raiya.

Related Stories