Kanenge bila mwisho…

August 19 2014 9:20am     0 537

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Kila pero hubambika mniaju wake akijua kudishi kivyake. Lakini ukipata kama husuyu Suman Khatun, sijui kama bado utakuwa na raha.

Suman ako 3ft 5ins kwa urefu na 92kgs, akiwa na miaka tisa pekee. Yaani akona weight mara kobole zaidi ya venye anafaa kukuwa. Alafu inasemekana yeseye humanga mandizi soh na eighty, kilo nane za waruu, kilo kinde na four za mchele, kilo eight za fish, ukiongezea mapuru na makeki, zote kwa wiki jamo tu.

Atalemewa kutuna, kutembea na ata kuketi lakini appetite yake mwenda haijawai kubalisha akadinda kudema. Ana mabeshte wapienga na huwa ni blanda akidai kucheza nao, coz analemewa kuhepa ama kusimama tu.

Mapero wake wanadai hawajui chenye wanaweza fanya ndio arudi fiti kama mtoi wa kawa, na ata doki wa mtaani ashamfanyia check-up na akadai Suman akona hyperthyroidism. Ambapo hii situation isiposhughulikiwa sahii atakuwa worse na ata kupata ugonjwa zinengi kama diabetes ama heart disease.

Related Stories