Odijo kajipata kwa noma…

August 20 2014 12:34pm     0 622

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mtiche nifla kutoka Russia anaweza chujwa waks juu ya kutumia mastiude wake, mbisha za kwake akiwa ndedhe.

Ni odijo wa ngoma, anatambulika kama Elena Kornyshonkova, mwenye amejiingiza kwa hii noma vimwenda. Anadai alikuwa anatry kusend hizo mbisha to mabeshte wake, kupitia FB, lakini accidentally zikaendea hadi mastiude pia.

Magigi wa chuo walichapiwa hisihi riba na wakadai lazima husuyu mtiche kuresign. Elena alidinda, akidai hanaku mbruucha yoyote ikikam risto za nudity na eti kwanza kuna maodijo wenye ni wachafu kumliko.

Enyewe kabla hizi mbisha kuleak, Elena amekuanga mtiche mfiti sana na ata amekuwa akido wera kwa hiyo chuo tangu 2009 lakini bado anatishiwa kuchujwa waks kama atazidi kudinda kuresign.

Related Stories