Tarehe jamo muhimu kwa wakenya!

August 22 2014 4:14pm     0 151

Photo Credit:Google   Tingua risto

August 22nd 1978, ni tarehe jamo raiya wa Kenya hawawezi forget. Hii ni kwasababu, Orezo wa fao alikamanyuria hii day. Inasemekana iligenya akiwa bed kwa keja yake na husuko Coast.

Hiyo siku ma oduko na ma offe zilitinga na ata jiji zinengi kwa country zikafanya the same, kumark respect kwa leader mnoma Orezo Jomo Kenyatta.

Wasee wengi hakuamini amegenya na venye hiyo risto iliannounceiwa kwa tenje, kupitia Voice of Kenya (VOK), ilipatia wasee shock bwaku sana.  Mara yake ya mwisho kuonekana mbele ya umati, alikuwa anakaa ako fiti.

Mzee Jomo Kenyatta alikua ndio Orezo tangu Independence 1963, na alitambulika kama mjamo wa founding fathers of the nation, juu walikapitia wakijaribu kupigania Uhuru kutokana na wakoloni.

Ni poa kumkumbuka coz pia tunajua venye tumetoka far kama raiya wa 254.

Related Stories