Siku ya kupay respects…

August 22 2014 4:29pm     0 161

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ni kama Kenya ilirudi pale tulianzia, ukicheki venye tuliweza kuwai mniaju wa Orezo wa fao kupata ile kiti same na bazenga wa kwake. Hapo zamo baada tu ya Independence in 1963, Mzee Jomo Kenyatta aliwai  kiti ya Orezo na alirule hadi venye aligenya, Tuesday ya August 22nd 1978. Alafu sahii mniaju wake Uhuru Muigai Kenyatta ndio Orezo baada ya elections za 2012.

This round itakuwa commemoration ya the 36th anniversary tangu budake kudedi. Na imepangwa venye lazima atafika kwa Mausoleum ya bazenga wake hasapo Parliament Buildings, kulay wreath(maua).

Famo na mabeshte wanafaa kujoin kwa chachiko ya PCEA Saint Andrews, hasapo State House Road kwa Memorial Service, kukumbuka husuyu Shujaa na buda wa the Nation of Kenya.

Related Stories