Player aka genya uwanjo

August 25 2014 2:05pm     0 537

Photo Credit:AFP   Tingua risto

Ma fans wa Cameroon wana mourn baada wa player wao kugongwa na burungo kutoka kwa stand na aka genya. Albert Ebosse akiwa na miaka twenty four alikuwa anacheza Algerian League match, ambapo hiyo incident ili happen. Ebosse alikuwa ame tingia team yake the only goal, but walikuwa wameshindwa na the opponent side ikiwa USM Alger ikiwa siku ya seko kwa hii Algerian Championship.

Hii kisanga ilifanyika game ikikatika na maplayer walikuwa wanarudi kwa changing room. Kumbe mafans kwa stands walikuwa wamekatiska juu ya team yao kushindwa waka amua kuanza kurusha maburungo kwa uwanjo. Kwa bahati mbaya burungo moja ikampata Ebosse, na ata baada ya kujaribu kumkimbiza hosi hawakufanikiwa. Hapo ndipo ikatangazwa kuwa Ebosse amekamanyuria.

Hayotu President of the Confederation of African Football (CAF) ali express condolences kwa family, friends na ma fans. Na sasa wameanza investigation juu ya hii riba kucheki kama wanaweza pata huyo culprit.

Related Stories