Maddi imeona mavumbiā€¦

August 27 2014 4:23pm     0 471

Photo Credit:Nairobi Wire   Tingua risto

Imeshafika ile time inago down in history, club jamo ya vungu kuchujwa from existence. Florida 2000, ama ukipenda F1 ata pia ilijulikana kama Maddi yenye imereign street ya koinange hasapa GG, kwa miaka salasa, imeona mavumbi.

Inaonekana landie wao, Kenya Tea development Authority (KTDA),  amewin hiyo fight ya kuchuja hii monument kutoka tao. Club yenyewe imekuwa ikioperate kutoka 1977 na inashukishia sana kucheki ikidemolishiwa.

Sa venye inadundishwa, inabaki memories zote za kadunda ninda ya maddi zimegenya pamoja nayo. Sijui kama risto za jam session zitakuwa the same tena. Alafu pia biz ya kuentertain matourists imekatika vimajor.

Related Stories