Reason cutex ni lazima….

August 28 2014 1:17pm     0 368

Photo Credit:Google   Tingua risto

Juu ya venye mambuus hupenda urembo sana, si ajaabu kupata wakibadilisha nail polish kama kila siku. Unaweza pata ni kwa sababu manzi anataka kumatch cutex na clad zake ama akuwe anajinice tu.

Lakini sahii kuna reason ya maana zaidi kupaka hiyo cutex kwanza kama wesewe ni party gyal. Inasemekana kunayo drug-detecting nail polish. Ukipaka, iko clear bila colour lakini lazima kurusha kidole ninda ya drink ndio ifanye waks. Ikipata drink yako imespaikiwa, itachange to color red pap!

Sa inafaa kudetect mchele yenye iko na Rohypnol GHB ama Xanax, zenye zinaweza tumiwa na mafisi wale wanatarget wasee wako tei.  Product yenyewe bado inafanyiwa tests na iko under development lakini ikishamuja kwa mako itasaidia sana wadhii. Ata more mastiude wa colle na yuni.

Kwa hivyo kaa chonjo, ndio ikishamochoka namna this, utakwachu cutex jamo ya ‘Undercover Colors,’ alafu ujiweke safe matime umeenda hepi zako. 

Related Stories