Ata kama kudema ni lazima…

August 31 2014 12:43pm     0 755

Photo Credit:Google   Tingua risto

Sa nilidhani machinku ndio wasee wamefyatuka lakini kumbe uwenda yao imefika hasapa 254. Na husuko Kilifi wamekuwa wakihepesha mapanya kama mchuzi.

Inasemekana kuna aina nifla ya panya inajulikana kama Kadzora, yenye ndio delicacy mbichi kwa wadhii wa chonyi na wagiriama. Ambapo kuenda hunting ya hizi bruus ishakuwa kawa hadi hanaku msee anacheki kitu mbaya na hisihi habit.

Alafu imebaki wanadai wanataka kuanza kuzifuga, ndio wasiwahi malo hii keroma yao. Inaweza ninoma ata kuliko nyake ya kawa ama maskunde . Labda ata next wataanza kuzikinda kwa makee. 

Related Stories