Bash ya Nyargen @90

September 2 2014 12:21pm     0 420

Photo Credit:Twitter   Tingua risto

Daniel Toroitich Arap Moi amekuwa orezo wa seko hasapa 254 baada ya Buda Uhunye kugenya. Nyargen aliwai seat ya orezo 1978 na aka lead kwa mvua 24.

Hatuwezi sahau memories za husuyu bazenga akiwa orezo, nakumbuka tukiwa chuo palikuwa na milo ya nyargen, tuki muimbiaga Tawala Kenya Tawala, alafu ata hakuwai hata kufika stadi, kuwatch game kama ya Harambee Stars ama derby ya Kogalo na Chingwe na vitu zingine kibao. Sasa tunamtakia kismat kwa bash yake ya 90 all the best.

Related Stories