Videsa ya Uliza Kiatu imetoklezea

September 11 2014 3:20pm     0 628

Photo Credit:Sylvia Ambani   Tingua risto

H_art the Band ni wasanii wa hasapa 254, group yenye inakam up vipoa sana. Inakaa after waanue ngoma yao, mafans walidaisha wanataka kuyebi videsa....na sasa finally videsa ya hii hit song yao "Uliza Kiatu" imechomoka. Ngoma yenyewe inabonga juu ya njumu, ile kushow yaani vile ukitaka kujua chenye msee hupitia kila siku akisakanya daily bread, love na life....ni muhimu uulize njumu zake ndio uweze kujua

Yaani msee mwingine haezi jua chenye unakapitia lakini njumu ingekuwa inaweza kubonga ingesema kila kitu juu iko na wesewe kila mahali na zile struggles una kapitia. Ngoma yenywe ni kali sana venye ma lyrics zina flow ina kuwacha ukidaisha zaidi. Itakua muhimu waendelee na the same tempo kupea raiya ngoma za nguvu hii design.

Videsa yenyewe ili directiwa na Kevin Bosco Jr.

H_art the Band - Uliza Kiatu iko juu na ka huna copy, yebi videsa yenyewe hasapa down. Unaikenga kijea?

Related Stories