Mecca sahii na zamo, kwa mbisha…

September 12 2014 1:06pm     0 579

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna kitu jamo special lazima kila Muslim kutimiza kabla kugenya. Inajulikana lazima kuenda Hajj Pilgrimage, kwa sababu ni jamo ya the five pillars of Islam. Na tangu zamo wasee hufika Mecca, Mosque jamo bwaku ajaab, yenye iko Saudi Arabia.

Kunayo histo mzito sana kwa hisihi holy site, na inaweza onekana kwa mbisha za venye imebadilika over the years. Cha kushangaza,ni vile gava ya Saudi ilimanage kubadilisha na pia kuexpand grao bila kudestroy historical aspects.

Ata kama Mecca imekuwa tangu the 17th century, tumekubalishwa kuweza kuyebi transformation yake kutoka mwaka wa 1920 hadi 2013. Manze hadi msee anaweza tamani kuenda kama pilgrim ata kama yeseye si muislamu. 

Related Stories