Ngori za South Sudan….

September 18 2014 5:27pm     0 415

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tangu zamo South Sudan imekuwa na ngori kuruka. Wamekuwa kwa civil war, risto imetetemesha chances za development. Sa ilikuwa inabidi wasee wa kutoka country zinengi kumuja kuwasaidia.

Sahii gava ya South Sudan imeamua kuchuja wasee wote walikua wamekuja waks kwa ma NGO na mabiz zingine,kama; bankiko, peti, hoteli, ama kampu zile private, kwa sababu ni foreigners. Hao workers wamepatiwa notice ya kuanza kumaha by mid-October. Na wanafaa kuwachia waks zao kwa raiya wa South Sudan.

Ilidaishwa ma sud pia wako competent kufill hizo positions za jobo, na bora kuprotect rights na interests za raiya wa South Sudan. Pia kumbe mayut walifanya kuchop na kuwai qualifications lakini hawajawai pata janta.

Lakini wasee wa NGO wanadai hii mraa itafanya kutokeleze noma zaidi.  Kumaanisha economy yao inaweza dunda alafu kutakuwa na shida zaidi ya venye iko sahii.

Related Stories