Nutty kuleta makujua….

September 18 2014 5:38pm     0 266

Photo Credit:Go Sheng   Tingua risto

Chuo ya Rusinga imefikishwa kotiko na pero mjamo amewakulia moto mbaya. Paro amesue chuo kwa sababu walidinda kuadmit mtoi wake juu akona dready, wakidai ati ni against rules and regulations on grooming.

Lakini huyo pero alijitetea akidai walidiscriminate mniaju wake coz ni manzi na kumbe machali wanakubalishwa kukuwa na nutty. Hedi wa chuo aliruka hiyo risto akisema rule zina apply kwa waniaju wa gender zote limbi.

Sa wanataka hii kesi kutupiliwa njei, lakini lazima iskizwe fiti na itabidi wamerudi kujitetea tena. Enyewe chuo zinafaa kukuwa wapole kwa risto zingine. Hii si reason bwaku ya kukuwa sensitive juu yake, kwani hao watoi wanatumia nywele kuchop?

Related Stories