Kuhusu pot holes kwa baro….

September 19 2014 10:23am     0 291

Photo Credit:BBC   Tingua risto

Tunaelewa vipoa sana experience ya kutravel kwa baro zimejaa potholes. Kile tunalipa kwa tax inafaa kuweza kutumika kumekisha ubaro fiti ata ninda ya maesto, lakini politicians ni wale wale. Lazima kusaka risto ya kuchapia raiya wakidai votes zao, ndio waonekana wako na maana.

Sa kuna mabeshte kadhaa waliamua kumekisha series ya mbisha, kushow venye baro za mtaa yao ziko mbovu. Ingawa hawa si wasee wa 254, tunaweza relate na kile wanashow hasapa. Waliweza kuskuma gava ya Lithunia kuchukua action.

Kwa mbisha wanashow venye hizo pothole ni major hadi zinaweza mekisha area ya kuenda dufo mpararo, fishing ama ata kutumia hiyo waba imejiflood hapo kuogea. Blanda ingine ya hizo pothole ni venye zinachangia kwa accidents zinafanyika.  Yebi hii njaro yao unique ya kuzusha.

Related Stories