Wanyama na dude ya fao EPL

September 22 2014 10:02am     0 292

Photo Credit:Goal.com   Tingua risto

Southampton wikendi ilikuwa inagusa na Swansea, na Southampton waka manage kushinda na dude jamo mtungi.

Sasa story interesting, dude yenyewe ilitingwa na Victor Wanyama wa hasapa 254, kimbronje wake Macdonald Mariga, mwenye anagusa game yake husuko Italy. Wanyama alitinga hii dude second half baada ya kuingia after kupigwa sub. Saa hii Southampton ni wa seko kwa standings za English Premier League.

Game yenyewe haikuwa raisi juu Southampton walikuwa down na msee mjamo, Striker wao Wilfred Bonny kugeiwa red card, baada ya kuwai yellow card mbili.

Manager wa Southampton anadaisha Bonny kugeiwa card ya fao haikuwa fair, but ya seko alifaa kugeiwa. Ata hivyo alipraise game ya Wanyama tu sana, juu ya contribution yake kwa game. Tingua hii link ucheki standings venye ziko.

Related Stories