Sunda nangos matime unadrive!

September 22 2014 11:11am     0 240

Photo Credit:Google   Tingua risto

Imekuwa kizaazaa kudrive kwa baro za jiji siku hizi. Sana sana venye hii risto ya mavedi kujitolea kubamba msee anapitisha speed limit zile zimewekwa kama law.

Enyewe hii vita ya kupumguza accidents za baro ni fiti lakini hii njaro nira ndio itaget wasee mbaya. Inasemekana kunayo gadget yenye inaweza kutambua dere anatumia nangos yake kama anadrive ndai.

Hiyo gadget inajulikana kama ComSonics. Na inaweza chukua signal za nangos yoyote na kujua kama unacall ama kutext. Ambapo karao atapata notification na utasimamishwa ndio ulipe tiko ama kutupwa neti juu ya kutumia nangos kama unadrive.

Ata kama utaweza hepa matime mko wengi ninda ya ile ndai, kama ni tabia umezoea, lazima utapatikana ukiwa solo. Sa heri kutemana na hiyo nangos hadi ufike destination. Pia kumbuka ni illegal kutumia musi kwa ubaro.

Related Stories