Dingo mjamo msexy!

September 22 2014 1:48pm     0 673

Photo Credit:Go Sheng   Tingua risto

Dranya mjamo kutoka husuko Canada, amebambwa na anacheki counts soon a fourteen za udingo na kukuwa in illegal possession ya mabunde.

Stephanie Boudoin, akiwa na miaka mbao na jamo, ni manzi msupa kuruka. Hafanani na makauzi wa kawa. Ata akakugosa sidhani unaweza zusha juu ya venye ako msexy. Lakini inasemekana amebreak into keja zaidi ya arbesa . Na eti alikuwa na maside kick watatu, wenye ni ma underage.

Ile siku makarao walimfikia na kumbamba, alipatikana na aina kadhaa za mchuma kwa ndai yake. Alafu hakuingiza ata njeve.  Tena kama ule mjamaa wa steto,Jeremy Meeks, mbisha za  Stephanie zimerom kwa net wasee wakidai ‘….looks do kill.’

Sa anategea November 17 kurudi kotiko, ndio kesi yake iskizwe. 

Related Stories