Ukichoka kukatiwa…

September 23 2014 10:46am     0 749

Photo Credit:Google   Tingua risto

 Kama husuyu manzi wa Florida, ukiboeka na majamaa kukukatia kila time, heri kuget jegi ya tatu. Jasmine Tridevil, aliamua ataongezea boobs, surgery ilimcost $20,000 eti ndio asikuwe attractive tena kwa maboiyz.

Akiwa na miaka mbao na jamo, anakaa kama freak nifla na ako poa na hisihi look yake nira. Kwanza inambamba tu sana juu anapata fame na ata anadaisha atatolesha Reality Show, yenye itafanya kuomoka possible.

Anadai aliulizia kwa madoki kama hamsa kabla mjamo kukubali kumduiya hivi. Alafu ngozi ya abdomen ikagraftiwa ndio hiyo jegi nira ikae natural kama hizo zinengi.  Kando na wasee kuzusha kwa internet, mapero wa Jasmine wamekatsika yao yote. Lakini yeseye hajali  chenye wasee wanafikiria. Bado kuna debates kama hizo jegli ni za vako ama ni authentic.

Related Stories