Njaro ya kuchora adverts…

September 23 2014 2:30pm     0 407

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mara mob wasee hutumia billboards ku advertise kuhusu waks zao ama products wanakinda. Matime pia hutumika kucreate awareness kuhusu risto nifla. Lakini ya muhimu ni kuget attention ya raiya wale walihata kucheki hizo advert kwa telly ama gazo.

Kuweka advert kwa hizi billboard si ganji kiasi, na ata hubidi msee kuhire hiyo space kama mwezi mzima, kulingana na agency ile inapeana hii service. So hasapa 254 utapata makampu ndio huwez kuafford kuzitumia. Lakini huko mayolo kuna wasee fyatu wameamua kutumia hii mraa kuwai chenye wanadai.

Yebi hasapa nichi mbisha kadhaa za billboard ziko na message za ajaab kuruka.

Related Stories