Ngozi ikidinda kubaki kwa mwili

September 30 2014 1:54pm     0 485

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ari Wibowo ni teeni akona miaka kinde na six na amebandikwa nickname, akiitwa Snake Boy. Kumbe ni kwa sababu akona skin condition yenye inafanya anashe kila siku arbesa najamo.

Ugonjwa yenyewe inajulikana kama Erythroderma ama Red Man Syndrome. Ambapo msee hutoka ngozi same na vile nyoka huduu. Hii condition imelazimisha huyu mtoi kucheki maisha hard. Juu inabidi anajisoak kwa waba kila idhaa na pia kujipaka mosturiser kila 3hours. Ile siku atalapa kuduu hivyo, atakauka na kugenya pap.

Blanda bwaku ilihappen vile alizaliwa na madoki kudai hanaku venye wanaweza kumsaidia. Sa imebidi famo ya kwake kushinda wakimtreat juu hawezi wachwa solo. Husuyu mboiyz wa Indonesia, anatry kuendelea maisha kawa, kudema keroma kama wasee wengine na ata kumek mabeshte.

Ingawa chuo inabidi anachop solo juu waniaju wengine wanagwaya kukaa na yeseye. Pia hizo mayadi, kuna superstition kibao na utaget kuna riba za vako zinachapiwa mtaani kudiss Ari zaidi.

Related Stories