Unaweza tuna anywhere

October 2 2014 8:41am     0 387

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Risto ya hustle hulazimisha wadhii kurauka gware vimezesha. Sa hubaki msee kushinda akitamani kutuna ata kama ni dakika kinde tu. Lakini juu ya kukosa namna inabidi kukausha hadi afike mtaani.

Sa kunayo njaro nira ya kutuna place unajiskia, bila kujali kama ni floor ama njei . Inasemekana ni bed unaweza kung’ara inajulikana kama Futon Air Mat Set. Yenye inamuja na blanketi unacladi kama suti na padding ya kulalia.

Imemekishwa njaro utacladi ama kukunja size inabebeka bila kufeel ni kama uko mizigo. Mjap mjamo anajulikana kama King Jim ndiye alimanufacture hisihi product ya maana sana. inatoshea wasee size zote na iko venye unaweza kunja kama ni ndefu sana. Na zinapatikana Japan pekee.

Related Stories