Message muhimu kwa mambuus wote

October 16 2014 2:33pm     0 327

Photo Credit:Google   Tingua risto

Unatambua Paps Smear Test ni kuhusu nini? Kumbe hiyo jina ilitokana na doki alikuwa anaitwa goerge Papanicolaou, mwenye alidiscover cells ninda ya cervix zenye hubadilika kama zikona cancer.

Sa hisihi tool inaweza kuscreen cervical cancer na pia kutambua cell changes kwa cervix. Na ni poa mbuus wa kutoka miaka mbao na jamo ama mwenye ameshakuwa sexually active kufanya hii test. Alafu anafaa kuendelea kufanyiwa test kila 2 or 3 years baaden, kudetect mapema any abnormal cells.

Process ya kufanya Paps Smear iko simple sana na hanaku pain utafeel. Lakini ni poa kuavoid lungula, tampons, ama kutumia spermicides kama unapanga kuendea hii test. Uzuri ya the test ni kwamba inaweza saidia kuwai masaibu zinengi kwa cervix, kama HPV.

Kwa hivyo sakanya hiyo mbana ya doki na kufika hosi fasta ukapate kujua kama ikuus iko fiti. Hanaku haja ya maaibu coz utakuwa unajisave mapema maugonjwa hazina tiba. 

Related Stories