Msanii hajawai kung’ara njumu

October 16 2014 2:50pm     0 292

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kila msanii hukuwa na trade mark yake, ile inafanya anastand out na kukuwa tofauti na raiya. Mrisho Mpoto ni mjamo wa wasanii wa TZ. Lakini wera yake ya music na film production,  imevuma sana hasapo Dar Es Salaam, akiwa na theatre yake inajulikana kama Mpoto Theatre Gallery.  Pia anatambulika kama performer na writer mnoma internationally.

Mrisho ako tofauti sana juu hajawai ng’ara njuta na yeseye hutembea mguu chuma kila place anaenda. Ata ukiyebi mbisha zake akienda majuu kuperform, bado ako mguu chuma. Ata inadaishwa hajawai boti njumu ata pair jamo.

Ata hivyo, yeseye ni multi-award winning traditional artist na alikua appointed as the official ambassador wa KORA AWARDS AGAINST EBOLA. Na amekuwa akitumia time na energy zake kueducate mayut kuhusu African Traditions and Culture.

Related Stories