Safo husuko Odhumo

October 17 2014 1:34pm     0 366

Photo Credit:motor sport kenya   Tingua risto

Itakuwa siku bwaku sana on 18th Oct 2014 husuko Odhumo, patakuwa na compe jamo matata. KCB ime organize compe ya safo yenye itakuwa inago down hii ndiwike.

Hizi ndizo kadhaa za ubaro hizi safo zitakuwa zina tumia, kama Chemase, Chemelil, Songhor, Miwani na Kiboyo No.4. Flag-off ita take place idhaa ya saa jamo, alafu idhaa ya kumada itakuwa kuanzia idhaa ya saa tisa na nusu, ambapo hiyo ni idhaa ya dinga ya fao kuwasili. Alafu prize giving itakuwa idhaa ya 5.00 pm, katika cane fields zina border Nandi district na Kibos región.

Co-sponsors wa KCB Safari Rally Kisumu 2014 iWay, ICEA Lions na ALS, wata flag-off hizi safo kutoka KCB branch ya Odhumo, na race yenyewe itakuwa ya 150km na kumalizia Chimase’s Kibos Sugar weigh-bridge.

Related Stories