Kwanini TPF inachujwa?

October 21 2014 9:17am     0 314

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tusker Project Fame (TPF), ni Reality Show ninda ya East Africa,yenye ilikua inasaka talanta za wasee wanaweza kuimba. Kama venye Oteto kuna American Idol na SA Project Fame. Lakini hisihi ilikuwa sponsored na Tusker Lager.

Imekuwa na Season sita bila kucount TPF All Stars. Na winner alikuwa anawai mkwanja kiasi ya mita ngovo, record deal ya kumekisha album ya ngoma nira kwa studio iko SA na kama kawa Fame. Hasapa 254 tuliwai winners walimbi; Valerie Kimani na Ruth Matete.

Lakini ata ikiwa mradi fiti ya kusaka talanta na kusaidia wasee kutambulika kwa music scene, kumekuwa na complains kibao kutoka kwa contestants. Huku wakidai management ya TPF ilikuwa imbo na iliwaenjoy eti itawasaidia lakini haikufikisha agreements zake. Pia ukicheki hao wasanii walisemekana kuwin, bado wanastruggle kumake it kwa music scenes. Yaani bado wako kwa sector ya upcoming artists.

Risto yenyewe iko fishy sana hadi unaweza shangaa kwani walikuwa wanacheki nini kusaka winner! Alafu kuzidisha kuna parasha zinasambaa ikidaishwa hanaku TPF hii mwaka ya 2014. Hanaku reason imetokelezea lakini kama kuna noma ninda ya kampu lazima wazisort kabla warudishe hiyo show. Tena itamaanisha kutumia ganji kibao bure tu, juu raiya washaboeka kuyebi show yenye ikona ubaguzi. 

Related Stories