BBA ikiendelea…

October 23 2014 12:06pm     0 203

Photo Credit:Google   Tingua risto

By Sunday 19th Oct 2014, mambuus kobole walikuwa wamechujwa kutoka kwa keja ya BBA. Hiyo day pekee madem watatu walichujwa ikiwepo; Esther kutoka UG, Sabina wa 254, na Lillian kutoka Nigeria.  Hao wengine wabweks walichunjwa wiki ya seko walikua; Mira kutoka Mozambique na Resaa wa Zambia.

Nashangaa niaje majamaa wameponea aje, juu hanaku ata mjamo amechujwa bado. Lakini kulingana na votes za wadhii, inakwaa hao mambuus walikuwa the least liked.  Ata hivyo walikuwa wanakaa visupa kuruka.

Kutinga hiyo Eviction Party, ilikua group ya hasapa mtaani inatambulika kama Elani. Hisihi band ya wasupa wambweks na chali mjamo, wanajulikana kuduu ngoma aina ya Urban Afro Rock-pop na wamenywaku raiya vimejor. Waliperform pajamo na Olamide na Phyno kutoka Nigeria.

Related Stories