Singis expe

October 23 2014 12:53pm     0 478

Photo Credit:Zach Woosley   Tingua risto

Kwa the world of sports, inajulikana yenyewe wale wasee huishia uwanjo ndio mafans kuruka, na sio hapa mtaani tu, ni mpaka majuu pia. Sasa kwa spoti zote huko mayolo, sanasana Oteto, Baseball ndio kusema.

Kensas City Royals ni team imekuwa kwa World series miaka kama salasa hivi na tiko ya kuingia kuyebi wakigusa ni dolare thao jamo. Uki convert hii doo na currency ya hasapa 254, ni karibu thao eighty, alafu ni show kama ukaweza ingia husuko, unaweza afford kutuna?

Sasa Royals wakiwa wanagusa na Giants, mafans kadhaa walionekana wakituna na game inaendelea. Manze atakama wesewe sio fan wa team yeyote kwa hizi bwegz na uka afford kuingia husuko ninda, sidhani kama unaweza doze.

Hii ni shame kwa hawa majamaa, angalau ata husuyo mjamaa alikuwa amepolea hasapo next na yeseye angemshika kibare akae chonjo, hiyo munde si ni most.

Related Stories