254 kuchujwa BBA

October 29 2014 11:21am     0 361

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kama kila mwaka, wasee wa kutuwakilisha kwa jakes ya BBA huwa hawana bahati. Inakaa hiyo mkwanja haitawai kufika mtaani.

Wiki jamo tu baada ya Sabina kumochoka, sasa amefwatwa na house mate wake Melvin  Alusa, mwenye pia amechujwa kutoka BBA. Raiya walizua venye hawa wasee wa bweks waliwekwa kama contestants, wakidai walikua ‘weak competition’.

Ata hivyo hii raiya inazusha wanasahau cha muhimu ni contestant kuwai zile votes kibao ndio waweze kusurvive hasapo ninda. Compe hawes mek kama votes ni kiasi. Sa 254 imerudi ile position ya kufika tu kuonekana alafu kuchujwa bada ya wiki kadhaa.

Maybe mvua next wasee watachanuka kuvotia contestants’ ndio wakaribie ama wapate hiyo grand prize. Na tukome kuzushia Sabina na Alusa, juu walido the best wangeweza.  

Related Stories