Giza ya siku sita

October 29 2014 2:28pm     0 703

Photo Credit:Google   Tingua risto

Manze save hizi matarehe kwa calendar yako, juu kutoka Tuesday 16th hadi Monday 22nd Dec 2014, kutakuwa nagiza mwenda dunia nzima.  Lakini usihahe,si mwisho wa dunia.

NASA (National Aeronautics and Space Administration) wanadai tutakuwa magizani kwasababu sola itakuwa imeblockiwa na dust and space debris, kile inajulikana kama solar storm. Hisihi storm itakuwa inatokelezea baada ya miaka rwabe na finje alafu inatarajiwa kutake period ya masaa 216 in total.

Hanaku reason ya kugwaya kujipata magizani, coz ata kama sola itakuwa blocked out, earth itabaki same. Hakuna kitu itabadilika. Na bado tutaweza kutumia artificial light. Blanda itakuwa tu kama unadepend on sola kuwai masti, itabidi kuanza kujipanga kuget alternative.

Related Stories