Kaa chonjo uki celebrate victory

October 30 2014 12:54pm     0 480

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

Table Tennis 2014 World Cup fainali, zilichezwa on Sunday 26th husuko Dusseldorf Germany, na champee alikuwa aponyoke na pound salasa.

Zhang Jike, mchinku mwenye alimanage kukuwa champee, alifanya blanda venye alishinda. Njaro yake yaku shangilia victory haikuleta shangwe. Aliposhinda tu hivi, Zhang alianza kudestroy board za adverts zenye zinawaga zime surround uwanjo ya kuplaiya TT. Baadaye akavua tisho ya kwake na kutupia mafans. Sasa ITTF inadaisha hii tabia sia poa hata kidogo.

The International Table Tennis Federation (ITTF), imefine Zhang doo yake yote yenye ameshinda kwa hii championship. Zhang alijaribu kujitetea akidaisha amekuwa under pressure tu sana wasee wakimuuliza kama yuko form na hii championship. But ITTF haitaki kujua inadaisha action zake zikuwe funzo kwa wale wengine wakona tabia kama hisiyo.

 

Related Stories