Blanda za kubonga mavako

October 31 2014 8:20am     0 462

Photo Credit:Google   Tingua risto

Imekuwa trend sasa kupata risto za crime zenye zimechangiwa na  Social Media. Na ata wasee wakiskia ama kupewa warnings kuhusu hizo risto, hanaku ule anatii. Alafu inabamba sana criminals juu kupatikana matime inakuwa hard kiasi coz wanaweza tumia identity fake wakati wako online.

Sa leo tunawai risto ya mjamaa mjamo anatambulika kama Cornelius Jefferson, mwenye akona miaka salasa na three. Na alikuwa ametumia internet kukatia na kuwai manzi. Alipata mbuus mjamo hajakuwa identified bado, kwa dating site ama social networking site. Alafu inadaishwa alimaha kutoka mtaani, Georgia, hadi Eastern Kentucky, ndio akuwe na huyu manzi wake mnira.

Lakini kumbe ule mbuus hakufikia expectations zake, kulingana na zile online interactions waliwai kuwa nazo. Ikabaki Cornelius amemnyonga hadi kumdedisha. Alizidi na kumrushia dishi na kuchukua suitcase zake ndio arudi mtaani.

At least alibambwa na kukuwa charged with fourth degree assault. Lakini mavedi wanadai anaweza kuwa alifyatukia huyo mdem juu alimdisappoint. Na badala ya kuboeka tu na kurudi home, akaona ni heri kumada mbuus mwenye hatoshi mboga!

Related Stories