Wakenya kupenya kila place

October 31 2014 8:24am     1 786

Photo Credit:Kahawatungu   Tingua risto

Inakaa hisihi ni season ya kuskia risto kuhusu raiya wa Kenya wakiwakilisha kila place around dunia. Kumbe si sporti na acting zinatambulika solo.

 Kuna mdhama mjamo Mkenya amekuwa wera kama Police Service Assistant kwa Arlington Police Department na husuko Texas. Na amekuwa honoured juu ya kukuwa na outstanding long service. Anatambulika kama Dorothy Ouma, mwenye amekuwa hii janta ya vedi miaka salasa.

Alifanya wera smata hadi kwa hii 30th anniversary akawa congratulated na kukuwa recognized na the Police Department’s Manager, Assistant Chief Jaime Ayala. Kama wadhii wa Texas, tuko proud sana kuhusu husuyu mbuus, mzaliwa wa Rabour, ninda ya Kobura, Kisumu County.

Related Stories