Bash ya wale wamegenya

October 31 2014 8:36am     0 714

Photo Credit:Google   Tingua risto

Friday 31st Oct 2014, ndio siku iko kwa calendar ya kukumbuka wasee wale waligenya hapo bafo. Ingawa celebration yenyewe inashukiwa kukuwa na pagan roots, wakristo waliichukua kukumbuka saints, martyrs na the faithful departed believers.

Sababu ya kukuwa na Haloween, ilikuwa kujaribu kuweka humor na ridicule ya kuconfront the power of death. Sa ndio maana kuna activities kama; trick-or-treating ( kugeiana mapuru),  bash za kucladi costumes, kuchapiana risto zenye ziko scary, kuwatch horror muvi, decorating, carving pumpkins, lighting bonfires, visiting haunted mansions, na playing pranks.

Kuna wadhii huprefer kufika chachiko, wengine wakienda kwa makaburi kuwasha candles kama njaro ya kucelebrate. Na kitu raiya wengi hawajawai tambua ni kwamba hii siku iekuwa tangu mwaka 1745, na ilijulikana kama the holy evening. Lakini juu risto za kung’ara costumes scary, ikadhaniwa ni siku ya kishaito.

Kwanza hasapa 254, raiya haitambui origin za Haloween, sa venye Media personality mjamo alitry kuchangamsha wasee kuhusu hii holiday, alianzisha zushi kwa Social Media, akiwa anakemewa kufanya vitu za kidevoh na kadhalika.

Enyewe ni janamo za western culture kwahivyo kama hauelewi sana heri kujichuja from celebrating. Lakini ni poa kuchanuka na kuchop kuhusu origins zake, ndio ukae rada. Ata hivyo bado kuna events kadhaa zitakuwa zikiendelea kwa wale hawana noma ya kujibamba na hisihi holiday.

Related Stories