Mandevu kuwakilisha vimajor…

November 3 2014 11:32am     2 1158

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kwa machali wachanuka, mwezi wa November hutambulika kama Movember. Hiyo 'Mo' inasimamia Moustache na ata kuna event huendelea annually, yenye majamaa wanafaa kuwa wamemeesha mandevu, ready kushow off hii month.

Reason ya manywele kukuwa involved, ni juu ya kuraise awareness kuhusu health issues za machali. Kama vile; prostate cancer na maugonjwa zingine male related. Kwa hivyo majamaa msikonde, sio mambuus pekee kukuwa na mwezi ya kubonga kuhusu mashida zao.

Kuna charity event huendelea kupitia competitions za beard na moustache zile noma kuruka.  Alafu pia hii time hutumika kuencourage machali kufanyiwa check-ups na kuwekwa kwa awareness kuhusu cancer na njaro za kuadopt lifestyle healthy.

Sa kama ulikuwa ushawachilia mandevu zako, ukona excuse murwa sana. Na unawezadai hanaku kunyolewa hadi mwisho wa Movember. 

Related Stories